1 Kings 11:7-8

7 aKwenye kilima mashariki mwa Yerusalemu, Sulemani akajenga mahali pa juu kwa ajili ya Kemoshi chukizo la Wamoabu, na kwa Moleki mungu chukizo la Waamoni. 8Akafanya hivyo kwa wake zake wote wa kigeni, ambao walifukiza uvumba na kutoa dhabihu kwa miungu yao.

Copyright information for SwhKC